Uza WiFi Kidigitali

Badili biashara yako ya WiFi kuwa ya kidigitali. Uza vifurushi kiotomatiki, wateja walipe kwa simu na wapate intaneti papo hapo, bila usimamizi wa mikono.

Portal ya MENDEZ - chagua pakiti na lipa
100%
Malipo Kiotomatiki
4 Mitandao
Vodacom, Airtel, Yas, Halotel
24/7
Huduma Daima
TZS 10K
Ada ya Mwezi / Tawi

Hatua Rahisi Kwa Mteja

Kuanzia kuunganisha hadi kupata mtandao, yote ni moja kwa moja.

1

Mteja Anaunganisha

Mteja anaunganisha kwenye WiFi yako. Portal ya malipo inafunguka kiotomatiki kwenye simu yake.

2

Chagua Pakiti

Mteja anaona pakiti zote na bei zao kwenye portal yako iliyobinafsishwa.

3

Ingiza Namba

Mteja anaingiza namba ya simu (M-Pesa, Airtel, Yas, Halo) — hakuna usajili.

4

Lipa kwa Simu

Taarifa ya malipo inatumwa kwa simu yao. Wanathibitisha na malipo yanakamilika.

5

Mtandao Unatolewa

Mtandao unatolewa papo hapo. Pakiti inapoisha, portal inafunguka tena.

Kwa Nini MENDEZ ni Bora?

Mfumo kamili wa biashara ya WiFi, unaokuwezesha kudhibiti matawi yako yote.

UNACHOHITAJI VIFAA VIWILI TU

  • Chanzo cha Internet ( Router au Fibre ya Airtel, Yas, TTCL, Halotel, Vodacom )
  • Access Point za TP-Link Omada (EAP)
  • TP-Link Omada Access Point

Inafanya kazi na TP-Link Omada

Mfumo wetu unaunganishwa moja kwa moja kwenye Access Points za Omada. Hakuna vifaa vingine vya ziada.

Malipo kwa Simu (Mobile Money)

M-Pesa, Airtel Money, Mixx By Yas, HaloPesa zote zinaungwa mkono. Mteja anapokea taarifa kwenye simu yake.

Matawi Mengi (Multi-Branch)

Akaunti moja, maeneo mengi. Kariakoo, Mbagala, Morogoro, au popote — yote kutoka dashboard moja.

Pochi na Utoaji wa Pesa

Mapato yanaingia moja kwa moja kwenye pochi yako. Unaweza kutoa pesa kwa simu wakati wowote.

Brand yako Mwenyewe

Nembo yako, jina la biashara yako, na ujumbe wako kwenye portal. Wateja wanaona brand yako.

Takwimu za Moja kwa Moja

Leo, wiki, mwezi, mwaka. Wateja walio mtandaoni, pakiti zinazouzwa, historia ya mapato — zote live.

Gharama ya Mfumo na Ada ya Kila Mwezi

Chagua Access Point inayokufaa — bei zote zimejumuisha mfumo wa MENDEZ WiFi na kebo ya CAT 6 ya nje (20m).

TP-Link EAP225-Outdoor
EAP225-Outdoor
TP-Link Omada · AC1200
TZS 360,000 /=
+ Mfumo wa MENDEZ + CAT6 Outdoor 20m
Nunua
TP-Link EAP225-Outdoor — Vipimo & Uwezo
  • Wi-Fi Standard: 802.11ac (Wi-Fi 5), dual-band 2.4GHz & 5GHz
  • Kasi: Hadi 867Mbps kwenye 5GHz, 300Mbps kwenye 2.4GHz
  • Uwezo wa eneo: Hadi mita 200+ nje (mazingira wazi)
  • Wateja: Inashauriwa hadi 50+ kwa AP
  • Kinga: IP65 ya maji na vumbi, inafaa nje ya jengo
  • Inajumuisha: Mfumo wa MENDEZ WiFi umewekwa tayari + kebo ya CAT6 outdoor 20m
TP-Link EAP610-Outdoor
EAP610-Outdoor
TP-Link Omada · AX1800
TZS 500,000 /=
+ Mfumo wa MENDEZ + CAT6 Outdoor 20m
Nunua
TP-Link EAP610-Outdoor — Vipimo & Uwezo
  • Wi-Fi Standard: 802.11ax (Wi-Fi 6), dual-band 2.4GHz & 5GHz
  • Kasi: Hadi 1201Mbps kwenye 5GHz, 574Mbps kwenye 2.4GHz
  • Uwezo wa eneo: Hadi mita 300+ nje (mazingira wazi)
  • Wateja: Inashauriwa hadi 100+ kwa AP
  • Kinga: IP67 ya maji na vumbi, imara kwa hali ya nje
  • Inajumuisha: Mfumo wa MENDEZ WiFi umewekwa tayari + kebo ya CAT6 outdoor 20m
TP-Link EAP650-Outdoor
EAP650-Outdoor
TP-Link Omada · AX3000
TZS 560,000 /=
+ Mfumo wa MENDEZ + CAT6 Outdoor 20m
Nunua
TP-Link EAP650-Outdoor — Vipimo & Uwezo
  • Wi-Fi Standard: 802.11ax (Wi-Fi 6), dual-band 2.4GHz & 5GHz
  • Kasi: Hadi 2402Mbps kwenye 5GHz, 574Mbps kwenye 2.4GHz
  • Uwezo wa eneo: Hadi mita 350+ nje (mazingira wazi)
  • Wateja: Inashauriwa hadi 150+ kwa AP
  • Kinga: IP67 ya maji na vumbi, imara kwa hali ya nje
  • Inajumuisha: Mfumo wa MENDEZ WiFi umewekwa tayari + kebo ya CAT6 outdoor 20m
TP-Link EAP772-Outdoor
EAP772-Outdoor
TP-Link Omada · BE11000 (Wi-Fi 7)
TZS 730,000 /=
+ Mfumo wa MENDEZ + CAT6 Outdoor 20m
Nunua
TP-Link EAP772-Outdoor — Vipimo & Uwezo
  • Wi-Fi Standard: 802.11be (Wi-Fi 7), tri-band 2.4GHz, 5GHz & 6GHz
  • Kasi: Hadi 5760Mbps kwenye 6GHz, 4320Mbps kwenye 5GHz, 574Mbps kwenye 2.4GHz
  • Uwezo wa eneo: Hadi mita 400+ nje (mazingira wazi)
  • Wateja: Inashauriwa hadi 250+ kwa AP
  • Kinga: IP67 ya maji na vumbi, imara kwa hali ya nje
  • Inajumuisha: Mfumo wa MENDEZ WiFi umewekwa tayari + kebo ya CAT6 outdoor 20m

Uko tayari kubadilisha biashara yako ya WiFi?

Wasiliana nasi kwa WhatsApp na tutakusaidia kuanza leo. Tunakupa mafunzo na msaada wa karibu.

Ongea Nasi Sasa